Sunday, August 14, 2016

WAFANYABISHARA WA NYANYA HANDENI WALILIA SOKO



Mfanyabiashara wa nyanya soko la Melini Handeni Tanga, Amir Mshikemshike akichambua nyanya zilizooza na kuharibika, wanyabiashara hao wamesema kukosekena kwa soko linawalazimu kuuza nyanya zao kwa hasara ili kuepuka kuwaozea mikononi.
Wafanyabiashara hao wengi wamekuwa wamekuwa wakilalamika upatikanaji wa soko na kuwaozea mikononi na kuiomba Serikali kuwasogezea soko karibu yao.









No comments:

Post a Comment