Wednesday, August 24, 2016

KATIBU WA CHADEMA TANGA ADAI MAANDAMANO YAPO

 Ofisi ya Chadema Nguvumali Tanga


Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Tanga, Ismail Masoud, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuzungumzia  amza ya chama hicho juu  maandamano UKUTA ambayo yatafanyika tarehe mosi mwezi ujao kwa  Tanga.




 Katibu akizungumza na waandishi wa habari ofisni kwake

No comments:

Post a Comment