Wapenzi wa kichina wafunga ndoa kwenye daraja la kioo juu ya bonde


Si jambo linaloweza
kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi
wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani
katika daraja la kioo.Licha ya kuelea angani yapata futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.
Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini uchina hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment