Thursday, August 25, 2016

MAGOFU YA KALE TONGONI TANGA KIVUTIO CHA UTALII



Moja ya Magovu ya Tongoni Tanga ambayo yalijengwa enzi ya Utumwa ambayo yanadaiwa  kutumika kusafirisha watumwa kwenda nje kwa kutumia bahari.
Magufu hayo ambayo kwa sasa yanatumika kama ya Kiutalii yamekuwa kivutio likiwemo jengo kama hili ambalo linaonekanalo Taswira ya jengo la Ibada.
Magofu hayo ambayo yako kandokando ya Bahari ya Hindi viko vitu mbalimbali vya Kihistoria yakiwemo Madau na Ngarawa.






No comments:

Post a Comment