Wednesday, August 17, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MUHONGO WILAYANI



Wanafunzi shule ya msingi Makole Wilayani Muheza Mkoani Tanga, wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo wakati wa mkutano wa hadhara wa kukagua miradi ya Uwakala wa Usambazaji umeme vijijini Rea juzi.











Wakazi wa Mandera Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini , Sospetre Muhongo wakati wa mkutano wake wa hadhara juzi kukagua miradi ya usambazaji umeme vijijini Rea awamu ya pili .

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment