Arsene Wenger atasalia kuwa mmoja
kati ya wakufunzi bora duniani hata iwapo Arsenal itapoteza fainali ya
kombe la FA kulingana na mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte.Wenger alisema kuwa hatma yake itaamuliwa na mkutano wa bodi ya klabu hiyo baada ya fanaili ya kombe la FA dhidi ya Chelsea.
No comments:
Post a Comment