Monday, May 8, 2017

MAELFU WAJITOKEZA KUWAAGA WANAFUNZI AJALI YA GARI ARUSHA

Umati wa Uliojitokeza Kuwaaga Wanafunzi na Walimu 35 waliofariki Ajali gari Arusha

Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yalifungwa kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji huku wengine wakiendelea kuwasili.




No comments:

Post a Comment