Friday, May 26, 2017

LEO NI MWEZI MOSI RAMADHANI



 Ustadhi Yussuf Said Bwazo akisoma Qur aan Msikiti wa Answar barabara ya 6 Ngamiani Tanga, Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu wengi husoma kitabu hicho.
Tanga Kumekuchablog inawatakia kila heri Wailsmu wote Ulimwenguni Funga ya Hri na Fanaka na kuweza kutimiza malengo yao ikiwemi kusamehewa madhambi yao pamoja kuzidisha mshikamano miongoni mwao






  Naibu Katibu Mkuu Chuo cha Tamta Tanga, Sheikh Yakub Ridhwani Pera akimfundisha kusoma Qur aan, mtoto Hadhuruni Hajj. Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu ni mwezi wa Ibadan a wenye ujira mkubwa na Waislamu wengi husoma Qur aan. Waislamu kote Duniani leo wameanza kufunga.




Waumini wa Dini ya Kiislamu Masjid Nuur barabara ya 14 Ngamiani Tanga, wakichagua kanzu ikiwa ni maandalizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao umeanza leo..



No comments:

Post a Comment