Thursday, May 11, 2017

DARAJA LINALOUNGANISHA TANGA PANGANI LASOMBWA NA MVUA



Daraja la Nema Tongoni Tanga linalounganisha Tanga –Pangani likiwa lisombwa na maji ya mvua iliyonyesha jana na kukatisha huduma ya usafiri katika ya pande mbili hizo.








Wasafiri kati ya Tanga na Panga pamoja na raia wa kigeni wakivushwa kwa kutumia kamba katika daraja la Nema Tongani Tanga linalounganisha pande mbili hizo kufuatia daraja hilo kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jana.

No comments:

Post a Comment