Meneja wa Arsenal Arsene Wenger
amesema hatima yake katika klabu hiyo itaamuliwa katika mkutano wa bodi
ya klabu hiyo baada ya fainali ya Kombe la FA mnamo 27 Mei.Wenger amekuwa akishutumiwa sana na baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo, na kunao ambao wamekuwa wakiweka mabango kumtaka ajiuzulu.
No comments:
Post a Comment