Wednesday, May 17, 2017

MTOTO OMARI AOMBA MSAADA WA MATIBABU



Mama mzazi, Jafara Hussein mkazi wa Arusha akionyesha macho na mdomo wa mtoto wake, Omari Mayunga (11) katika ofisi ya Tangakumekucha Tanga ambaye amedai  alizaliwa na kupata matatizo ya  macho yakiwa nje pamoja mdomo ukiwa na uvimbe ndani na nje .
Kwa anaeguswa na mtoto huyu anaweza kuwasiliana na mama yake kwa namba hii  0766 350664





No comments:

Post a Comment