Monday, May 22, 2017

MVUA ZAFUNGISHA BARABARA NA KUSITISHA HUDUMA ZA KIJAMII



Barabara ya sita hadi ya kwanza barabara ya Jamaa Ngamiani kati imefungwa kwa kuwekwa mkokoteni na kamba baada ya mvua kubwa kunyesha juzi usiku na kufunga barabara.
Barabara hiyo imelazimika kufungwa ili kuepusha vyombo vya moto na wapita kwa miguu kutumbukia katika mashimo na machemba yaliyoko katika barabara hiyo.





No comments:

Post a Comment