Sunday, May 14, 2017

MADHILA YA MAWE KUPOROMOKA MILIMANI LUSHOTO NA KUFUNGA BARABARA


Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Benedickti Wakulyamba akipanda moja ya mawe yaliyoanguka kutoka juu mlimani na  kufunga barabara kufuatia mvua kubwa iliyonyesha juzi





Wanafunzi na wasafiri wanaoelekea Lushoto wakipanda moja ya mawe yaliyofunga barabara baada ya kuanguka juu mlimani kufuatia mvua kubwa iliyonyesha juzi.









No comments:

Post a Comment