Friday, May 19, 2017

NI DARAJA LA CHOTE PONGWE TANGA


Wanafunzi wa shule ya Msingi Pongwe wakipita katika daraja la mbao la  Chote ambalo mbao zake zimebomoka na kuwa kero kwa watumiaji wa vyombo vya moto na wapita kwa miguu.
Daraja hilo kwa muda mrefu limekuwa katika mazingira hatarishi ambapo nyakati za mvua hupitisha maji mengi jambo ambalo limekuwa likiogopesha na wanafunzi kuacha kwenda shule kwa hofu ya kusombwa na maji.




No comments:

Post a Comment