China imepiga hatua nyingine katika
mpango wake wa anga za juu, baada ya kuanza kufanyia majaribio mpango wa
kupeleka binadamu wakaishi kwa muda mrefu kwenye Mwezi.Lengo ni kuwaanda kwa safari ya kuishi kwa muda mrefu kwenye kituo cha anga za juu kwenye Mwezi, bila kupokea usaidizi wowote kutoka ardhini.
China imewekeza pesa nyingi sana katika mpango wake wa anga za juu, ikilenga kushindana na Marekani an urusi.
No comments:
Post a Comment