Tuesday, May 9, 2017

MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NDEGE APIGWA CHAPATI YA USO

Hotuba ya mkurugenzi wa shirika la ndege la Australia Airline Qantas ilisitishwa kwa muda baada ya kupigwa na chapati usoniHotuba ya mkurugenzi wa shirika la ndege la Australia Airline Qantas ilisitishwa kwa muda baada ya kupigwa na chapati usoni.
Alan Joyce alikuwa akihutubia mkutano wa biashara katika eneo la Perth wakati mtu mmoja alipopanda jukwaani na kumpiga chapati ya uso.
 Joyce alikuwa akizungumza kuhusu hatua ya safari ya moja kwa moja kutoka London hadi Perth bila kusimama katika vituo vilivyopo.
BBC

No comments:

Post a Comment