Saturday, May 27, 2017

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA KUFUANGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA TANGA

 MKUU wa Wilaya ya Tanga akikagua mabanda ya Maonyesho yaliyopo Mwahako ambapo leo Waziri wa Biashara na Viwanda Chales Mwajage anatarajiwa kuwafungua maonyesho hayo ya Kimataifa.
Maonyesho hayo ambayo yatashirikisha mataifa mbalimbali ya Afrika , Asia na Ulaya yataanza leo.



Mkuu wa Wilaya ya Tanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufanya ukaguzi wa mabanda ya maonyesho.

No comments:

Post a Comment