Sunday, May 21, 2017

NI BARABARA YA CHOTE PONGWE TANGA



Wafasafirishaji wa mkaa kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda wakipita kwa shida katika barabara ya Chote Pongwe Tanga baada ya barabara hiyo kuathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha na kuwa kero.





No comments:

Post a Comment