Leo tarehe 18/12/2014 mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa Ilolo
uliopo jijini Mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na watu
wasiojulikana na kumtelekeza kando kando ya mto,mpaka sasa hajatambulika
ni nani na ni mkazi wa wapi.
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.
No comments:
Post a Comment