Kura za Wabunge zimefanya mabadiliko haya ndani ya Bunge la Afrika Mashariki…

Maamuzi hayo yamefikiwa jana usiku katika makao makuu ya Bunge hilo Arusha,
ambapo Zziwa aliwahi kulalamikiwa na baadhi ya Wabunge kwamba anatumia
vibaya ofisi yake, amekuwa kitoa huduma isiyokidhi pamoja na ukosefu wa
heshima kwa Wabunge hivyo wawakilishi 45 kukubaliana kuhusu kufukuzwa
kwake kwa kupiga kura, ambapo jumla ya Wabunge waliokuwepo walikuwa 39,
kura za ndiyo zilikuwa 36 huku mbili zikisema hapana na nyingine moja
kuharibika.
No comments:
Post a Comment