
Aisha Madinda wakati wa Uhai wake
Aliyekuwa
Mnenguaji na Muimbaji wa Bandi ya Twanga Pepeta Aisha Madinda amefariki
dunia hivi punde Jijini Dar es salaam. Habari imethibitishwa na mmiliki
wa bendi ya Twanga pepeta Asha Baraka. Mkurugenzi wa bendi ya Twanga
Pepeta amesema kuwa alipewa taarifa na Daktari mmoja kuwa wameona kama
mwili wa Aisha Madinda hospitalini hapo, ndipo akatuma watu kwenda
kuangalia akiwemo Luiza Mbutu ili kuhakikisha kama kweli ni yeye. Imethibitika kweli ni Madinda,hutopitwa na habari yoyote wakati wowote hata kama ni saa 9 usiku habari itakufikia kupitia kumekucha blog.
No comments:
Post a Comment