Angel Di Maria amemuacha Lionel Messi kwenye hii…
Taarifa ninayotaka kukupa ni kwamba staa huyu ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Argentina 2014 anaecheza nje ya nchi yake ambapo kwenye tuzo hizo zinazotolewa na Waandishi wa habari za michezo, Angel alikua anashindana na Lionel Messi and Sergio Aguero.
Unaambiwa hii ni mara ya kwanza kwa Lionel Messi kuikosa tuzo hiyo ambayo amekua akiichukua toka mwaka 2006.
No comments:
Post a Comment