Tuesday, December 9, 2014

EBOLA ZAIDI YA UKIMWI SIERRALEONE

Ebola yatia fora Sierra Leone.



Shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa ripoti juu ya nchi ya Sierra Leone kuzipiku kitakwimu nchi za Afrika Magharibi hasa jirani zake Liberia ikiwa ni nchi yenye idadi kubwa ya watu walioathirika na ugonjwa huo.
Who inasema kwamba imeorodhesha watu wapatao elfu saba na mia nane walio na virusi vya ugonjwa wa Ebola,idadi ambayo inaizidi kidogo nchi ya Liberia,wakati nchi Guinea kuna wagonjwa wenye maambukizi wapatao elfu mbili

No comments:

Post a Comment