Wale wa Selfie, hii ni mpya kwa ajili yenu watu wangu… Teknolojia imetuletea #Selfiestick
Watu wengi wamekuwa addicted na Selfie, sasa wataalamu wakaona isiwe tatizo, wametuletea kifaa kipya Selfie stick kitakachosaidia wale wa selfie kujipiga kwa kuenjoy zaidi.
Cheki video hii hapa.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekuchablog
No comments:
Post a Comment