Monday, December 8, 2014

MBWA AMUOKOA MTOTO ASIPATE KICHAPO CHA MAMA YAKE


Pale ambapo mbwa anamwokoa mtoto asipigwe na mama yake (Video)


Pale ambapo mbwa anamwokoa mtoto asipigwe na mama yake (Video)

dog-smilingKwenye zile za maajabu mtu wangu, leo ni hii ya mbwa anayemtetea mtoto.
Kumbe mnyama anaweza kuifahamu thamani ya viumbe wengine pia ikiwemo hata binadamu?
Nimeshare na wewe hii ya mbwa ambaye alikuwa kwenye mafunzo ya kulinda ambapo hapa ameonyesha namna ya ajabu anavyoweza kumzuia hata mama asimpige mtoto wake…
Nilipoiona hii nikasema vipi kama mbwa hawa wangekuwepo majumbani kwetu ambako tumezoea kuona watoto wakipigwa na wazazi wao?
Nitafurahi ukiniandikia mtu wangu.
Hakika utapata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, Kumekucha blog

No comments:

Post a Comment