Alichokiandika Karrueche Tran leo Desemba 8 kupitia ukurasa wa Twitter…

Hawa ni Chris Brown na Karrueche Tran, siku
ya jana Desemba 07 walitawala mijadala kwenye mitandao ya kijamii
kuhusu kile walichokiandika kwenye kurasa zao za Instagram na Twitter.
Ukurasa wa Instagram wa Karrueche
haupatikani kwa sasa ambapo haijafahamika kama amefungiwa kutokana na
matumizi ya lugha za matusi wakati wakijibizana na Chris, au ni kuna
ukweli kwamba ukurasa wake umezuiwa kutokana na kuripotiwa kwamba kuna
mtu mwingine ameripoti kwamba anatumia account iliyoiga jina lake.
Tweet ya Karrueche imeandikwa hivi; “I did not delete my Instagram. I’m way too addicted lol. Soooooomeone reported my page as an impersonation and now it’s disabled 

Hakika utapata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti, Kumekucha blog
No comments:
Post a Comment