Wakati
Leo Mkoa wa Iringa unaadhimisha wiki ya usalama barabarani yenye kauli
mbiu maamuzi yako barabarani ni hatima yetu - fikiri kwanza - Ajali
mbaya msitu wa miti wa Mafinga Iringa mchana huu. Kwa mujibu wa habari
zilizotikia aliyepoteza maisha ni Yunith
Gwamaka Mwakenja ,majeruhi ni Dereva wa gari hilo ambaye nu mhadhiri wa
chuo cha Tumain makumira Tawi la Mbeya Bw Gwamaka Mwakenja pia
majeruhi mwingine ni Joyce Fredy. Wengine wametibiwa na kuruhusiwa.
Chanzo inasadikika kuwa ni mwendo kasi na gari kuacha njia kwa sababu
ambazo bado hazijajulikana na kupinduka. |
No comments:
Post a Comment