Staa wa Nigeria aungana na Watanzania kuitakia sikukuu ya Uhuru Tanzania

.
Ikiwa leo ni Desemba 9 watanzania wameungana kwa pamoja kusheherekea
maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania.Sasa good news ninayotakia
kukupatia ni kwamba msanii kutokea Nigeria mwenye hit single ya Show
You The Money Wizkid kupitia twitter aliandika ujumbe wa kuitakia
Tanzania sikukuu ya Uhuru ‘Happy independence day Tanzania! Blessings!
Hizi ni baadhi ya tweet ikiwemo ya Wiz Kid na mastaa wa Bongo pamoja na wanasiasa kuhusiana na Uhuru Day
No comments:
Post a Comment