Friday, December 19, 2014

UJUMBE WA KRISMASS KUTOKA KWA IZZO

Mabibi na Mabwana huu ni ujumbe wa Izzo Bizness


Mabibi na Mabwana hii ndio video mpya ya Izzo Bizness

.
.
Rapper kutokea Mbeya City, Izzo Bizness baada ya kuachia single ya X Mas aliyomshirikisha Myra sasa time hii amekuja na video mpya ya single hiyo.
Itazame mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili  Izzo Bizness akipita hapa asome kutoka kwa watu wake wa nguvu.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment