Kama ulikosa kusikia leo kuhusu Msanii Hussein Machozi, soma hapa
Hussein
amesema ni kweli kulitokea tafrani hiyo ambapo yeye alikuwa ukweni kwao
Mwanza, wakaja watu na kuanza kutukana dirishani kwake bila sababu
yoyote hivyo akaamua kutoa taarifa Polisi ili watu hao wakamatwe ajue
sababu kwa nini walifanya vile.
Wakisaidiana na Polisi aliwakamata vijana wawili, lakini baadaye wakamalizana, Polisi wakaondoka.
No comments:
Post a Comment