Ina maana Amber Rose kaamua kuhamia kwa Chris Brown? Cheki video yao hapa
Alimalizia kwa kushurukuru wanaomtia nguvu katika wakati huu huku akisema mawazo yake kwa sasa yapo kwa mtoto wake, Sebastian.
Juzi usiku Amber amekutwa na Chris Brown Club huko Los Angeles, hakuna aliyekuwa na stress kati yao, kwenye good time hiyo walidance kwa dakika kadhaa huku kila mmoja akionekana kuenjoy support ya mwenzake.
Amber na Chris, hivyo ni vimbwanga vya Masupaaa staaaa
No comments:
Post a Comment