Soma Comment za mastaa hawa kwenye video mpya ya Vanessa Mdee ya ‘Hamjui’

Vee alikuwa karibu na mashabiki wake
kupitia mitandao hasa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu
utambulisho Exclusive wa video hiyo, baada ya kutambulishwa rasmi jioni
ya jana Desemba 08 comment za mashabiki wake zilionyesha mapokezi ya
heri wa video hiyo, lakini nikufikishie taarifa kwamba mastaa wa Afrika
Kusini Cassper Nyovest na Kid X ni moja ya mastaa ambao wamecomment kuipongeza video hiyo.
No comments:
Post a Comment