Monday, December 8, 2014

WIZI NYUMBANI KWA WEMA

U Heard ya leo Desemba 08, iko hapa. Inahusu watu waliopigwa nyumbani kwa msanii wakituhumiwa kuiba simu


iPhone-5s-Gold-Wallpaper-HD
Simu hii imetumika kama mfano, siyo simu ambayo wahusika wamelalamika kuibiwa.
U Heard ya leo Desemba 08 inahusu story zilizoenea mitandaoni kwamba mafundi waliokuwa wanafanya ujenzi kwenye nyumba ya Wema na likatokea tukio la kupotea simu ambapo inasemekana wakawaita mabaunsa na kuwabana mafundi hao wakiwatuhumu kuiba simu hiyo.
Baada ya Gossip Cop kumtafuta msanii Mirror ambaye anafanya kazi na Wema amekataa kwamba hajui chochote kwa kuwa siku ambayo inasemekana tukio hilo lililotea hakuwepo nyumbani kwa Wema.

No comments:

Post a Comment