Padri wa kanisa la Mgomeni Tanga, Ayoub Kuminambili akigawa zawadi za Krismass kwa niaba ya kituo cha Watoto walemavu (YDPC) Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya kituo hicho kwa kushirikiana na wageni mbalimbali wa Finlend
Mzazi wa mtoto mlemavuakihezabu pesa zake baada ya kupewa na kituo cha walemavu wa viungo huku akiangaliwa na mama yake na kupita mbele ya watu.
No comments:
Post a Comment