Stori nyingine kwenye Headlines baada ya raia wa kigeni kushambuliwa Afrika Kusini..
Wakati
dunia ikiendelea kulaani machafuko yanayoendelea Afrika Kusini kutokana
na wenyeji kuwashambulia wageni, kilichochukua nafasi kubwa kwenye
vyombo vya habari kwa sasa ni ishu ya raia wa kigeni waliokuwemo ndani
ya nchi hiyo kuanza kurudi kwenye nchi zao.
Moja ya taarifa iliyopewa uzito leo ni ishu ya Watanzania waliokuwa Afrika Kusini kurudishwa TZ kutokana na machafuko hayo.
No comments:
Post a Comment