Saturday, April 25, 2015

MVUA YAUWA WAWILI TANGA

  Wakazi wa barabara 19 Ngamiani kati jijini Tanga wakiangalia ukuta ulionguka saa 11 alfajiri baada ya mvua kubwa kunyesha usiku mzima na kuuwa watoto wawili na wengine watatu wa familia  moja  wakati wakiwa wamelala usiku wa kuamkia leo asubuhi





No comments:

Post a Comment