Friday, April 24, 2015

MAAAJABU, KUKU ATEMBEA SHINGO CHINI

Kuku anatembea amebinua kichwa chini, imemshtua anaefuga.. Kisa nini?

cock_head
Kama wengi tunavyofahamu kuku ni ndege ambaye hutembea akiwa ameinua kichwa chake juu lakini katika mji wa Kisumu nchini Kenya kuna tukio la kuku mmoja ambaye amewashangaza wengi kwa kutembea shingo yake ikiwa imeelekea chini.
kukHii kitendo yake ya kulala kama imefunika kichwa ilianza two months ago nikaipeleka kwa vet.. wakatupatia vitamin tuipatie tumekuwa tukiipatia sasa inaelekea two month bado inafanya hivyo.. leo nimewaita wamekuja wakaiona wenyewe wakatuambia kuku haina madhara yoyote kama tunaweza tuile tu”; amesema mfugaji wa kuku huyo.
Tofauti na kuku wengine kuku huyo anatembea kichwa chini na wakati mwingine anaruka kama anacheza sarakasi.. mfugaji wa wa kuku huyo amesema tukio hilo linampa wasiwasi, anahofu kumchinja kwa kuhofia shingo yake kupinda kama ya kuku huyo.

No comments:

Post a Comment