Friday, April 24, 2015

FLOYD MAYWEATHERE TAJIRI KUFURU

Kuna haya magari Floyd Mayweather hajui hata ni lini atayaendesha, kaongeza mengine!!

my
Utajiri wa Floyd Mayweather hata mwenyewe unamchanganya kiasi cha kutojua fedha zake nyingine afanyie nini.
Eti unaambiwa kaamua kununua magari zaidi ya 100 kwenye kampuni moja ya kusambaza magari.
Huyu ndiye bondia anayelipwa fedha nyingi duniani na utajiri wake umeendelea kuongezeka kila siku huku akitarajiwa kupokea kiasi cha zaidi ya dola milioni 100 wakati wa pambano lake na Mfilipino Manny Pacquiao May 2.
fffUnaambiwa ana magari zaidi ya 100 ya kifahari huku mengine akiwa hata hajawahi kuyatumia tangu ayanunue.
Ukiachia magari Mayweather pia anamiliki ndege na majumba ya kifahari katika jiji la Las Vegas.
Hutopitwa na habari inayinifikia na niko tayari kukutumia muda wowote ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment