Monday, April 27, 2015

TUNAWAHI SHULE

 Wanafunzi wa shule ya msingi  Mkwakwani Tanga wakipita katika daraja  ambalo chini inapita treni kuwahi shule jana asubuhi. Awali kabla ya kujengwa daraja hilo lilikuwepo daraja la mbao la  toka enzi ya Ukoloni na kupelekea baadhi ya mbao kung’oka jambo ambalo lilikuwa likihatarisha usalama wao na watumiaji wengine .






No comments:

Post a Comment