Wednesday, April 22, 2015

LUIS VAN GAAL YAIMARISHA SAFU YA ULINZI WAKE

Mkataba mwingine kwa beki huyu wa Manchester United..

smalling
Wakati Ligi kuu ya England ikikaribia ukingoni, Manchester United ipo katika harakati za kujiandaa na msimu mpya wa ligi kwa kuanza usajili wa kukiimarisha kikosi chao.
Manchester united chini ya kocha wao Luis Van Gaal imeamua kumpa mkataba wa miaka mitatu beki wao Chris Smalling na itakuwai ikimlipa kitita  cha pauni 80,000 kwa wiki.
smaa
Smalling ameonyesha kiwango kizuri katika mzunguko wa pili wa ligi kuu akiwa na Manchester.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayarikukutumua muda na wakati wowote  ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment