Wednesday, April 22, 2015

MGAMBO JKT ------------------NI SHIDA

 Simba vs Mgambo JKT Ruvu April 22 2015 utaipenda kama wewe ni wa Simba.

SPORTSKwenye headlines za michezo Tanzania April 22 2015 hii ya mechi ya Simba vs Mgambo JKT imechukua headlines kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam baada ya kilichopatikana baada ya dakika 90.
Unaambiwa Simba imeifunga Mgambo 4- 0 ambapo goli tatu zimepigwa na Emmanuel Okwi alafu hilo moja lililobaki likapigwa na Ramadhani Singano ikiwa ni mechi nyingine kutoka kwenye ligi kuu.
Simba 2

Simba 1

No comments:

Post a Comment