Tuesday, April 28, 2015

MANNY PACQUIAO ATUA LAS VEGAS KUMTWANGA MANNY WEATHER


MANNY PACQUIAO ATUWA LAS VAGAS KUMTWANGA FLOYD MANNY WEATHER
Manny Pacquiao akiwasalimia mashabiki wake waliofika kumpokea alipowasili katika Hoteli ya Mandalay Bay jijini Las Vegas jana usiku.
Basi lililobeba wageni na timu ya walimu wa mafunzo wa Pacquiao likielekea Las Vegas jana mchana.
Pacquiao akiwa amembeba mwanaye aitwaye Israel baada ya kushuka kwenye basi lake.

No comments:

Post a Comment