Saturday, April 25, 2015

MAISHA NI KUKOMAA NA KUWAJIBIKA

 Mkazi wa kijiji cha Mleni Amboni Tanga ambaye hakujulikana jina lake akipandisha mlima  Utofu Chumvini kuelekea mjini Tanga kutafuta soko la kuni Leo asubuhi.




 Wafanyabiashara kutoka vijiji vya Zingibari, Mabokweni na Jasini Wilayani Mkinga Mkoani Tanga wakipeleka mkaa na mifugo katika masoko mjini Tanga leo asubuhi kama walivyokutwa wakati wakipandisha mlima wa Utofu.


No comments:

Post a Comment