Sunday, April 26, 2015

MATUKIO KUTOKA LAGOS NIGERIA

ANUSURIKA KUFA KWA KUTAKA KUIBA BODABODA LOGOS NIGERIA

Kijana ambaye hakujulikana mitaa ya Lagos Nigeria akiwa ameokolewa kuepuka kuchomwa moto na  amepakizwa katika bodaboda ambayo alikuwa akijaribu kutaka kuiba kushindikana.

Hali ni tete mitaaa ya Kano Nigeria baada ya kutokea tukio la Ujambazi kuiba katika moja ya Bank kisha kurusha mabomu hewani

No comments:

Post a Comment