Thursday, April 30, 2015

WASHABIKI AC WACHOSHWA NA BOSS WAO

Mashabiki wa AC Milan waja na staili mpya ya kukaa uwanjani… unajua kwa sababu gani?

fans ac
Kutofanya vizuri kwa klabu ya AC Milan kumewafanya mashabiki wao kuingiwa na hofu na uongozi uliopo madarakani hadi kufikia hatua ya kuandamana.
Mmiliki wa klabu hiyo Silvio Berlusconi ambaye ameiongoza klabu hiyo kwa miaka zaidi ya 30 ameonekana kuchokwa na mashabiki wa timu hiyo ambao sasa wameamua kufanya kama mgomo hivi ili mmiliki abadilishwe kwa kuwa timu haijafanya vizuri kwenye matokeo ya mechi zake nyingi.
basta
Mashabiki hao wamekaa uwanjani kwa mtindo wa maandishi unaosomeka ‘BASTA‘ ambao tafsiri yake ni “sasa imetosha”.
Wengi wanataka kiongozi huyo aiuze klabu yake ili mtu mwingine atakayeinunua ifanye vizuri.

No comments:

Post a Comment