Thursday, April 23, 2015

JE, UMEWAHI KULA MISHKAKI YA VYURA? ISHU IKO HAPA

Labda na wewe unapenda mishkaki.. Hii ya chura je??

026Kwenye vituo vingi vya daladala utakuta mida ya jioni wako jamaa wanachoma zao mishkaki.. na watu wamezoea kabisa unakuta watu wengi wamejipanga wanajisevia.. kua story ilitokea Temeke kwamba kuna jamaa alikuwa anatuhumiwa kwamba anauza mishkaki ya paka, ikamharibia biashara yake japo baadae iligundulika kwamba mishkaki haikuwa ya paka.
Philip Paul kagonga vichwa vya habari kwenye story za Nigeria, amesema yeye na familia yake ni walaji wazuri wa mishikaki ya chura na pia ni biashara yake inayomuweka mjini..
_82445843_5_editedPhilip amesema shughuli ya kukamata vyura hao huwa anafanya usiku, anachotumia ni mikono tu.. wala haimpi shida sana kuwakamata.
_82479747_frogs976Hii ni biashara yake kubwa, unaambiwa kaianza toka mwaka 2008, sehemu ambayo huwa anawakamata sana vyura hao ni Jimbo la Adamawa, Nigeria alafu anawasafirisha mpaka Benue, huko nd’o ambako kuna soko kubwa la mishkaki hiyo.
_82444413_3_editedjpg
_82445849_pic_6_edited
_82446494_7_edited
Hapo mishkaki inakaushwa kwenye jua
_82446502_5b_edited3
Kazi inaendelea, hapa mishkaki iko kwenye moto.
_82454145_pic-3_1000_edited
_82446496_2_editedHutopitwa na habari yoyote na niko tayari kukusogezea muda na wkati wowowte ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment