Wednesday, April 22, 2015

SOKONI SAHARE TANGA

 Mchuuzi wa samaki bandari ya Sahare Tanga, Isega Pitter,  akipaa samaki wa wateja wake. Wachuuzi hao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakilalamika kutokuwa na sehemu maalumu ya kuchuuzia samaki na badala yake wamekuwa  wakipanga meza na kuweka chini na hivyo kuwa kero nyakati za mvua na jua.





No comments:

Post a Comment