Tuesday, April 28, 2015

CHALSEA YAANDAA MAANDALIZI YA UBINGWA

Chelsea waanza sherehe za ubingwa kwa vijana!!

captainTimu ya vijana ya Chelsea kutwaa ubingwa wa FA ni kama dalili njema kwa wakubwa wao ambao wamebakiza pointi tatu ili kuweza kutangazwa mabingwa wapya wa ligi kuu ya England msimu huu.
Timu yao ya vijana jana usiku iliweza kudhihirisha kuwa ni bora zaidi mbele ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich aliyekuwa uwanjani hapo wakati akishuhudia vijana wake wakiichapa Man City mabao 2-1.
vijana
Ushindi huo umewafanya walibebe kombe hilo kwa mara nyingine kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2.
woteNi halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment