Thursday, April 30, 2015

TUTOKOMEZE VIFO VYA WAJAWAZITO

 Wasanii wa kikundi cha Tanga kwanza Entertaiment , Osward Raphael kushoto na Amina Juma , wakiigizo igizo  wakati wa uzinduzi wa mradi wa kupunguza  vifo vya wanawake  wajawazito vitokanavyo na uzazi Mradi unaotekelzwa na Asasi ya Kiraia ya Tree Of Hope ya Tanga kwa Ufadhili wa Shurika Open Sociaty Iniative of East Africa uzinduzi uliofanyika leo .




No comments:

Post a Comment