Monday, April 27, 2015

BECKHAM AFANYA BATHDAY YA NGUVU MOROCCO

Beckham kaamua kurudi tena Africa kufanya birthday yake?? Jibu ni YES, itafanyika huku..

12-11-13-2
Miaka saba iliyopita mwanasoka mkongwe na staa wa mitindo duniani David Beckham na mkewe Victoria walirudia viapo vya ndoa yao, walisafiri na kuamua kufanya sherehe yao jiji la Marrakech, Morocco.
Ndoa yao ni  mfano wa kuigwa kwa mastaa wengi duniani, imedumu kwa mrefu na mpaka sasa na watoto wanne.
747123-86119d22-7813-11e4-a0f0-f6e11a4d80ae
Safari hii mwanasoka huyo ambaye atakuwa na sherehe ya kutimiza miaka 40 siku ya May 2 2015 mwaka huu amepanga kwenda kusherehekea siku yake hiyo pamoja na familia yake na washkaji zake wa karibu ndani ya Morocco, kulekule ambako ambako walienda kurudia kiapo cha ndoa yao.
Amanjena-Resort
Amanjena Resort
Beckham amepanga sherehe yake kuifanyia Kaskazini mwa mji wa Marrackech, kwenye mgahawa wa Amanjena Resort ambapo miongoni mwa watakaohudhuria ni mchezaji wenzake wa zamani, Gary Neville.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment